Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA

Milonji

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
166
Reaction score
510
Habari zenu,

Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA.

Kipo Mahali pazuri sana, nimekiona na nilitaka kununua ila tumepishana bei kidogo.

Ukubwa ni SQM 541 Jamaa kakomaa bei 11,000,000/=

Karibu Inbox nikupe namba ya Mhusika.
 
Bei uliyoshindwa ni sh ngapi?
Ukubwa wa kiwanja ukoje?
NYaraka zipo?
Hizi ni dondoo muhimu kabla hatujaja kuomba namba ya mhusika
 
Nyaraka anazo.

Nimeishia 9,500,000/=
 
Habari zenu,

Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA.

Kipo Mahali pazuri sana, nimekiona na nilitaka kununua ila tumepishana bei kidogo.

Ukubwa ni SQM 541 Jamaa kakomaa bei 11,000,000/=

Karibu Inbox nikupe namba ya Mhusika.
Umeamua uwe Dalali!
 
Back
Top Bottom