choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Niko sehem fulan hapa napata lunch..sasa kuna jamaa kaka na demu wamemaliza kula nadhan ilikua ni wakat sahihi wa jamaa labda kuanza kutia vocal au stor flan za kusisimua, sasa kinachoendelea demu anaongea mambo ya kanisa tu mwanzo mwisho. Namnukuu "sisi kwetu tunasali sana yaan mimi asubuh nikiamka siend kokote kabla ya kusali hata nimekuja hapa nimesali ili baya lolote kutoka kwa shetan au kwa mwanadam mwenzangu lisinipate" jamaa amebak anatumbua macho tu naona kabsa ndoano zinatemwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Lingne anaongeza mimi kaka zangu wote wamesomea upadri, babu yangu mzaa baba alikua mtu wa dini sana yan. Kiukwel namuona kabsa jamaa wanamtoa kwenye reili, hahahaha jamaa kaz anayo.
Lingne anaongeza mimi kaka zangu wote wamesomea upadri, babu yangu mzaa baba alikua mtu wa dini sana yan. Kiukwel namuona kabsa jamaa wanamtoa kwenye reili, hahahaha jamaa kaz anayo.