Kuna jamaa hapa anafanyiwa kitu ambacho wanaume wengi hawapend.

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,563
Niko sehem fulan hapa napata lunch..sasa kuna jamaa kaka na demu wamemaliza kula nadhan ilikua ni wakat sahihi wa jamaa labda kuanza kutia vocal au stor flan za kusisimua, sasa kinachoendelea demu anaongea mambo ya kanisa tu mwanzo mwisho. Namnukuu "sisi kwetu tunasali sana yaan mimi asubuh nikiamka siend kokote kabla ya kusali hata nimekuja hapa nimesali ili baya lolote kutoka kwa shetan au kwa mwanadam mwenzangu lisinipate" jamaa amebak anatumbua macho tu naona kabsa ndoano zinatemwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Lingne anaongeza mimi kaka zangu wote wamesomea upadri, babu yangu mzaa baba alikua mtu wa dini sana yan. Kiukwel namuona kabsa jamaa wanamtoa kwenye reili, hahahaha jamaa kaz anayo.
 
Umenikumbusha mrembo mmoja nilisafiri naye mwezi juzi.

Basi yeye mchangamfu kweli kweli ila mwanzo mwisho alikuwa ananipigia stori za kunionya. Mungu ni mwema mrudie kama bado hayupo kwako...

nikawa nampa kampani tu... eeeh kweli eeeh... hata mimi naona hivyo.... ila ni vizuri wanatukumbusha mengi.
 
Ila huyu wa kwako ungekaza kidogo tu ungemaliza.
 
Mbona kama unapiga ngoma na kucheza mwenyewe?

Kwa uanaume wako ndioy unadhani humhitaji Mungu?

Wewe ndiye mwanamme mpumbavu. Werevu wananyamaza kimya na hwaongei mambo wasiyoyajua.
 
Umenikumbusha mrembo mmoja nilisafiri naye mwezi juzi.

Basi yeye mchangamfu kweli kweli ila mwanzo mwisho alikuwa ananipigia stori za kunionya. Mungu ni mwema mrudie kama bado hayupo kwako...

nikawa nampa kampani tu... eeeh kweli eeeh... hata mimi naona hivyo.... ila ni vizuri wanatukumbusha mengi.
Nilinyonywa mbor na mwanamke wa swaga za hivo hivo tunasafiri toka musoma kwenda mkoani hukoooooo
 
[emoji15] [emoji15] duuh.. kwenye gari? Nooma saana
Yaani ilipoingia giza tu nikashangaa sana, ni kama alibadilika akajawa na uoga sijui nini basi mwishowe yaliyiendelea yakaendelea baadae nikaona usinichoshe ww, nikamfungulia zipu akautoa kaubugia mdomoni bao mbili matata sana , tumefika nikagoma kwenda kulala nae huyoooooo bomba zangu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Dogoo duuu, vicheko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
haha bado hajapatia gear sahihi kwenye hicho kilima!!!!!
 
Umenikumbusha mrembo mmoja nilisafiri naye mwezi juzi.

Basi yeye mchangamfu kweli kweli ila mwanzo mwisho alikuwa ananipigia stori za kunionya. Mungu ni mwema mrudie kama bado hayupo kwako...

nikawa nampa kampani tu... eeeh kweli eeeh... hata mimi naona hivyo.... ila ni vizuri wanatukumbusha mengi.
eti ..hata mii hivyohivyo..
Then akitaka maji, unamwambie lete hela.
 
Back
Top Bottom