Kuna jamaa kakuta message za rafiki yake akimtongoza mke wake kwenye simu ya mke wake

Kuna jamaa kakuta message za rafiki yake akimtongoza mke wake kwenye simu ya mke wake

mme wake bado yupo mkoa waliokuwa wakiishi mwanzo na mkewe ila kwa sasa mme anaishi pamoja na rafiki yake wa kiume ambae ameomba hifadhi kutokana na maisha yamempiga anavyodai.
Kwa saivi nimeishia hapa, ngoja nipande kidala nikipata seat taendelea kusoma
 
Kwahiyo jamaa kashindwa cha kufanya!
Au ndo kakuambia ili umshauri nawe ndo ukaleta jamvini lijadiliwe?
Hivi ni kweli huwa jambo dogo kama hilo umashindwa cha kufanya!
 
Back
Top Bottom