Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Kuna Jamaa kutokea Arusha(mid 30's) amepata mchumba kutoka Mwanza(pia mid 30's) na wamependana kweli ila tatizo ni kwamba Jamaa wa Chuga; dini imemkaa sana( Mkristo Mkatoliki) na mwanamke ingawa kalelewa kwenye ukristo yeye Ni Atheist na haamini Mungu au dini.
Mwanzoni Jamaa alipotezea kwa sababu alidhani kwamba angembadilisha au angalau angekuwa na udini kidogo ila mwanamke wapi na jamaa anapenda kusali kila saa jambo ambalo linamshangaza uyo msukuma ambaye huwa anamuambia anasali kwa sauti kubwa na inamsumbua akiwa analala na apunguze kusali🤣🤣🤣 Sasa Jamaa yupo kw dilemma.
Anampenda sana na mwanamke mzuri sana anasema; mrefu, mweusi na kachongoka kama Msomali; Jamaa yeye mweupe(Typical Wachaga wa Arusha). Jamaa anauliza afanyaje?🤣🤣🤣