Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Wewe jibu tu mkuu🤣🤣🤣🤣Wewe ni nani yao?, au ni ndugu mbea?
Why Uchafu Mkuu???mshauri jamaa atoke haraka kwenye uchafu.
Jamaa wa Arusha sio mieNi jamaa wa arusha au ni wewe?
😁😁😁Wewe ni nani yao?, au ni ndugu mbea?
Ni wewe bwanaJamaa wa Arusha sio mie
Kama umesoma posts zangu nyingi then you know mimi sio religious🤣🤣🤣Ni wewe bwana
Wasiwasi Wako Tu....Watu Wa Dini Ndio Hatari Mnoo..Bora Simba Wa Mikumi...Mtu asiye na dini ni kama mnyama wa porini... hana kitu anahofia, kwahyo huyo mtu siku akiamua kufanya mbaya utajuta mzee... Hana gear ya reverse!!!
Sometimes hv vitabu vya dini huepusha mengi sana.... sasa ww jichanganye na kujifanya mkasa n wa rafiki yako kumbe n wewe✍️
Mwambie jamaa apige chini. Hamna mwanamke apo. Kama anampenda, amfanye sidechick, ale tuu ila hafai kua mke uyoKuna Jamaa kutokea Arusha(mid 30's) amepata mchumba kutoka Mwanza(pia mid 30's) na wamependana kweli ila tatizo ni kwamba Jamaa wa Chuga; dini imemkaa sana( Mkristo Mkatoliki) na mwanamke ingawa kalelewa kwenye ukristo yeye Ni Atheist na haamini Mungu au dini.
Mwanzoni Jamaa alipotezea kwa sababu alidhani kwamba angembadilisha au angalau angekuwa na udini kidogo ila mwanamke wapi na jamaa anapenda kusali kila saa jambo ambalo linamshangaza uyo msukuma ambaye huwa anamuambia anasali kwa sauti kubwa na inamsumbua akiwa analala na apunguze kusali🤣🤣🤣 Sasa Jamaa yupo kw dilemma.
Anampenda sana na mwanamke mzuri sana anasema; mrefu, mweusi na kachongoka kama Msomali; Jamaa yeye mweupe(Typical Wachaga wa Arusha). Jamaa anauliza afanyaje?🤣🤣🤣
Uko poa?Sasa wewe ndugu mmbeya ushauri tukupe wewe utaufikisha au aje mdogo wako mwenyewe ?
Niko poa kaka ,vipi uko mbeya ?Uko poa?