Kuna Jamaa kutokea Arusha amepata mchumba kutoka Mwanza tatizo ni kwamba Jamaa wa Chuga; dini imemkaa sana

Pilipili usio ila inakuwashia nini?
 
Sema ni wewe ,hata hivyo RC ni kama upangani tu hakuna jipya

USSR
 
Mchaga na mnyakyusa ndio wanaendana katika kila kitu..ila mchaga na msukuma ni moto na maji..mwambie huyo jamaa aachane na ngosha akachukue mwanamke mkoa wa mbeya ndio wataendana😁(sio kwa ubaya😁)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…