Kuna jamaa sijawahi kumuona akipigiwa simu sasa sijui simu ya nini kuwa nayo

Kuna jamaa sijawahi kumuona akipigiwa simu sasa sijui simu ya nini kuwa nayo

maxresdefault-2.jpg
Nipeni uji hii chai ina mafuta sana
 
Simu ina matumizi mengi kama ilivyoundwa si lazima upige au upigiwe japo lengo kubwa ndio hilo
 
Labda anacheza game la nyoka na wife ako kila akikutuma kufuata vocha.
Mwanaume unakuaje mpashkuna? Bladihenken!🤧
 
Sasa siku akitaka kupigiwa wakati hana simu ?

Dunia ya sasa simu ndio communication sio kwa faida yako tu hata ya wengine, ingawa nadhani kwa watu kama wewe imekuwa kama kipoteza muda, mimi mtu kama hana cha kuniambia (zile nakupigia tu nikusalimie au kutafuta watu wa kupigia ili utumie bundle) bora wasikupigie
 
Back
Top Bottom