TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Huyu atakuwa ni Mkewe.Mda wote unakuwa nae?
Wewe hufanyi kazi.
Labda kila akichunguza details za simu za Mumewe anashangaa haoni chochote.. Na hii mada ameileta kama mtego ili tumpe majibu mbadala aweze kuendelea na upelelezi wake.