TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 May 29, 2022 #21 hydroxo said: Mda wote unakuwa nae? Wewe hufanyi kazi. Click to expand... Huyu atakuwa ni Mkewe. Labda kila akichunguza details za simu za Mumewe anashangaa haoni chochote.. Na hii mada ameileta kama mtego ili tumpe majibu mbadala aweze kuendelea na upelelezi wake.
hydroxo said: Mda wote unakuwa nae? Wewe hufanyi kazi. Click to expand... Huyu atakuwa ni Mkewe. Labda kila akichunguza details za simu za Mumewe anashangaa haoni chochote.. Na hii mada ameileta kama mtego ili tumpe majibu mbadala aweze kuendelea na upelelezi wake.