Kuna jamaa toka Mbeya anajiita mc mboneke anatrend sana IG na mambo yake ya videos anakimbia huku anajirecord mara anasema, irudiwe!

Kuna jamaa toka Mbeya anajiita mc mboneke anatrend sana IG na mambo yake ya videos anakimbia huku anajirecord mara anasema, irudiwe!

Kuna jamaa toka Mbeya anajiita mc mboneke anatrend sana IG na mambo yake ya videos anakimbia huku anajirecord mara anasema, irudiweee.

Nimeshangaa eti saivi kikao mtu anajirecord anamuiga huyu jamaa. What's your take on this?
Tukiacha yote hayo iko kimombo hapo mwishoni do you you
 
Atazimika soon... ni kama PIERRE LIQUID tu. Bongo Upumbavu ndio hupewa AIR TIME.
 
Back
Top Bottom