Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa wala sio haki.Sio lazima kusaidiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wala sio haki.Sio lazima kusaidiwa.
Kuna kubahatika mkuuBongo bila connections haupati shavu lolote lile mkuu
Kabisa wala sio haki.
Kitendo cha kuwa na namba yake means hakumfungia vioo bali mawasiliano yalipungua coz hakukuwa na vitu vinavyowaunganisha au vinavyopelekea wawasiliane kwa sana.Unaombaje msaada kwa mtu aliyekuwa anamfungia vioo??
Huna jamaa yoyote wa huko sema ni wivu tu ulikua unakusumbua sasa umeona fursa ya kuwasimanga.Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba.
Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID, kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per month ilikua ni pesa nyingi mno.
Jamaa akaanza maringo na akawa anatuona akina sisi ambao by that time tulikua majobless sio wa standard zake. Imepita miaka kadhaa hatimae Trump kafanya yake huko.
Jamaa leo kanitumia ujumbe eti nikisikia au kama nina mchongo wowote nimpasishie. Nimemjibu me niko nalima kijijini kwetu kama unaweza njoo tupige jembe, huo ndio mchongo nilionao kwa sasa.
Jamaa hajajibu kitu.
Tuwaambie tu kumaniner zao..Bongo bila connections haupati shavu lolote lile mkuu
Nani akuonee wivu wewe mwenye G.PA ya 2.8 ?Huna jamaa yoyote wa huko sema ni wivu tu ulikua unakusumbua sasa umeona fursa ya kuwasimanga.
mmmh binadamu kazi sana.Mssamehe tu mkuu, watu wengi wako hivyo. Mimi classmate wangu mmoja aliwahi kupata kazi benki moja hivi, akapata vijisenti wakati wengine bado tunajitafta, akawa na maringo mengi sana hata kwenye group la darasa letu wa mwaka wetu akajitoa. Miaka michache iliyopita nadhani pale kazini paliota nyasi, akaanza kututafta ambao hatukua na chochote( kwa sasa tuna zaidi ya chochote)
Akaanza kuomba akopeshwe elfu 20, mara 30 eti atalipwa siku flani, siku flani. Akaanza kuomba akopeshwe kiwango cha pesa ambacho mimi siwezi kumkopesha mtu, below 100k sikukopeshi, nakupa tu, sasa ajabu mtu ananiomba nimkopeshe elfu 20 au 30 nikajiuliza sasa hii inamsaidia nini huyu boss?
Mpuuze tu mkuu.
2.8 mbona umenipaisha sana? Yangu ni 1.9 tu inatosha.Nani akuonee wivu wewe mwenye G.PA ya 2.8 ?
Alijuaje kama jamaa anadharau?,alijuaje kama jamaa kamfungia vioo? .sio mtu anapiga simu muda wa kazi isipopokelewa unasema kakufungia vioo.Sijaona tatizo la jamaa wako wa USAID.