Tetesi: Kuna jambo alikuwa analisikilizia Dkt. Slaa, ana tamaa za fisi

Huyo mzee maisha yamempiga kofi kawa chapombe.

Pale UWT kakuta handlers wengine, mabahili kama nini.
 
Ugumu wa kuwaamini wanasiasa ndo unaonekana hapa

Dkt. Slaa ni msalii kwa asili, alishindwa kuwa Padri akamuoa Rose Kamili akamuacha kisa penzi la Josephine mashumbusi mtu aliyeshindwa kusimamia upadri kwa tamaa za mwili akashindwa hawezi kusimamia imani yoyote ile hapa Duniani zaidi ya tumbo lake.
 
Huyo mzee maisha yamempiga kofi kawa chapombe.

Pale UWT kakuta handlers wengine, mabahili kama nini.
Maisha yake yanakuhusu nini mwenzangu!

Unamshambulia kibinafsi unaacha kujadili hoja zake? Ukijipima wewe na yeye nani mjinga?
 
Dkt. Slaa ni msalii kwa asili, alishindwa kuwa Padri akamuoa Rose Kamili akamuacha kisa penzi la Josephine mashumbusi mtu aliyeshindwa kusimamia upadri kwa tamaa za mwili akashindwa hawezi kusimamia imani yoyote ile hapa Duniani zaidi ya tumbo lake.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Masisiem bhana!

Wewe umewahi kumlisha hata siku moja? Umechangia nini kwenye maisha ya Dr.Slaa wewe

Unashambulia maisha yake ya kwako mbona hayasemwi?

Zungumzia hoja zake! Wewe mwenyewe umekamilika?

Acheni ujinga wenu ccm
 
Dr Slaa sasa ni muda wa kupata maumivu waliyopitia wenzake na yeye akawabeza kisa yupo high table na Ccm wanakula Kuku kwa mrija.

Sasa ni zamu yake ya kula ugali mbele mboga nyuma.

Malipo ni hapahapa duniani, Ccm haina urafiki na mtu.
 
Kwa nini Mpango ana nafasi kubwa??
 
Uzalendo wa Dr Slaa Si wa kutiliwa shaka.

Free our Prophets๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Haya uliyaandika ukiwa na akili timamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ