Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
si kweliMkuu kuwa makini hao ni Freemason. Kaa nao mbali usijpendekezekeze kwao mwishowe utashawishika utoe kafara ndugu zako na wapendwa wako mwishoe ukaishi kwa huzuni na hela zako uchwara za damu.
Wewe nae! Wenzako wsnazungumzia noti wewe unasema sarafu! Noti ni karatasi yenye thamani ya kiwango halali kilichoidhinishwa na benki kuu.Hizo mia 5 za sarafu ni Silver hizo ,watu wanatumia kutengenezea vitu vya urembo.
Halafu si kweli kwamba zinanunuliwa mpaka elfu 30 .
Sehemu Gani MrMnazi mmoja pale kuna kijiwe fulani wao wana deal na noti /pesa za zamani
Ova
Nenda ile Junction mnazi mmja kuingilia lumumba...pembeni pale kuna wadau wa pesa za zamani utawakuta ...kitambo sana wapo paleSehemu Gani Mr
Dogo bangi acha. Unapata kichwa sababu mume wa dadaako anakupa bando kila siku, akili zako zinavurugika sababu ya kulala sebuleni kwa dada yako kwenye sofaMkuu kuwa makini hao ni Freemason. Kaa nao mbali usijpendekezekeze kwao mwishowe utashawishika utoe kafara ndugu zako na wapendwa wako mwishoe ukaishi kwa huzuni na hela zako uchwara za damu.
Nielezee kwa undani ni Hawa wanaonunua wakipiga makelele au ma millionaireNenda ile Junction mnazi mmja kuingilia lumumba...pembeni pale kuna wadau wa pesa za zamani utawakuta ...kitambo sana wapo pale
Ova
Cha rupia auhii imenikumbusha kisa kimoja cha zamani
KabisaNani ana kile kisa cha mzungu kuja huku na kuanza kununua nyani?
Akiweke hapa
Kinaendana kabisa na hizi biashara.