Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.
Pole sana ndugu. Ulcers inasababisha gesi,gesi inapunguza nguvu za kiume na inaleta uchovu. Tumia hiyo dozi kama ulivyoelekezwa, kama hutapata matokeo (kitaalamu dawa moja inaweza kumtibu mtu mmoja na isimtibu mtu mwingine, ndiyo maana ugonjwa mmoja kama malaria kuna dozi nyingi). Kama hujapata matokeo tafuta mmea unaitwa mkandandogowe (psorospermum febrifegum) uandae unga wake na kunywa asubhi na jioni kwa siku 28 utakaa sawa kwa uwezo wa Muumba. Mmea huu umaliza H pylory na hudhibiti kemikali ya Histamine 2
 
Shukrani ndugu.
 
Pole sana mkuu

Jitahidi ule vizuri kwa wakati, zingatia dawa pia fanya na vijimazoezi kidogo mwili utakaa sawa
 
Back
Top Bottom