Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

Pole sana ndugu. Ulcers inasababisha gesi,gesi inapunguza nguvu za kiume na inaleta uchovu. Tumia hiyo dozi kama ulivyoelekezwa, kama hutapata matokeo (kitaalamu dawa moja inaweza kumtibu mtu mmoja na isimtibu mtu mwingine, ndiyo maana ugonjwa mmoja kama malaria kuna dozi nyingi). Kama hujapata matokeo tafuta mmea unaitwa mkandandogowe (psorospermum febrifegum) uandae unga wake na kunywa asubhi na jioni kwa siku 28 utakaa sawa kwa uwezo wa Muumba. Mmea huu umaliza H pylory na hudhibiti kemikali ya Histamine 2
 
Shukrani ndugu.
 
Pole sana mkuu

Jitahidi ule vizuri kwa wakati, zingatia dawa pia fanya na vijimazoezi kidogo mwili utakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…