Kuna jambo kubwa linakuja duniani?

Kuna jambo kubwa linakuja duniani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Nimekuwa nikifuatilia hali ya dunia hivi karibuni. Kuna mvutano kati ya mataifa makubwa, vita vinavyoendelea, vitisho vya kijeshi, na baadhi ya nchi kuhimiza wananchi kujiandaa kwa dharura kwa kuhifadhi chakula na mahitaji muhimu.

Je, haya ni maandalizi ya kawaida ya tahadhari au mataifa yanaona hatari kubwa inayoweza kutokea mbele yetu?

Kwa mtazamo wenu, dunia inaelekea wapi? Je, kuna uwezekano wa vita kubwa kuibuka, au ni tahadhari za kawaida tu?
 
Back
Top Bottom