Kuna jambo ni kiiunganisha dot to dot naona kama vinafanana

Kuna jambo ni kiiunganisha dot to dot naona kama vinafanana

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Unajua binadamu tuna roho ya kutamani zaidi hata kumuangusha yule unayemtamani ili ushikilie wewe.Hapa kuna mada nyingi ambazo kama mapenzi,biashara,ajira,vyeo na n.k katika maisha kuna mtu anatamani hawe yeye sio wewe.

Sasa tuliyeaye alishamaliza hilo na sasa anatamani hata vyote tulivyo navyo viwe vyake.

DMZ .pole pole tunasubiri mkeka
 
Back
Top Bottom