Unajua binadamu tuna roho ya kutamani zaidi hata kumuangusha yule unayemtamani ili ushikilie wewe.Hapa kuna mada nyingi ambazo kama mapenzi,biashara,ajira,vyeo na n.k katika maisha kuna mtu anatamani hawe yeye sio wewe.
Sasa tuliyeaye alishamaliza hilo na sasa anatamani hata vyote tulivyo navyo viwe vyake.
DMZ .pole pole tunasubiri mkeka