Kuna jambo silielewi elewi. Mahusiano na jamii kuna kitendawili nashindwa kutegua'

Una bahati sana unapendwa na malaika wako kule Kenye wangekuua kabisa shukuru ulisahau mkoba tu na aibu uliyoipata
 
Mimi kama mimi sijapata concept hapa... ila wanakuja
Ni kama anatuambia sasa kafungua fremu, halafu ni mnywaji wa savana zikizidi sana tatu na siku alipopoteza pochi yake alikuwa amekunywa savana na kuchanganya na k - vant. Sasa anaona amepoteza heshima yake, kwa kutupiwa ID zake.
 
Kama hivyo sawa.. Annie X6 pole kipenzi, ujifunze kutokulewa sana siku nyingine
 
Pombe haijawahi kumuacha mtu salama.
 
Ulikunywa kwa kuchanganya pombe...Apo pia unataka umlaumu mtu
 
Sio wote wanaokuchekea wanakupenda...

Wengine wanakusanifu...
 
Yawezekana ulifanya au ulifanyiwa vitu vya ajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…