Haki ya Kugombea imetolewa kwa Kila aliye na nia. Nafasi ya uenyekiti kwa mfano, Kila aliyeweka nia amepewa fomu na atagombea kutafuta kura za wanachama.
Sasa hili shinikizo la Mbowe jitoe, Mbowe hutoshi, Mbowe hutakiwi, Mbowe muachie Fulani LINATOKA WAPI?
Kama wote wamegombea, na maamuzi ni kura shida Iko wapi? Kwani Mbowe Hana haki ya kugombea kwa mujibu wa Katiba ya Chama?