Kuna jambo zito natamani kulileta humu ila nikifikiria naona bora niseme tu Mitanotena.

Kuna jambo zito natamani kulileta humu ila nikifikiria naona bora niseme tu Mitanotena.

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Wakuu october tunatiki na tunakwenda na mama yetu kipenzi cha watanzania, mama aliyeingia mioyoni mwetu.
 
1. Arudi kwenye chama kwanza apitishwe kihalali. Kwanini anataka kupita kwa mlango wa nyuma kila mahali? Anaogopa nini?
 
Mmmh suku ya uchaguzi ukilala usingizi kwako utapungukiwa na nini??
 
Ponjoro baada kuitwa kwa na gwajima ukaja kufungua ID mwanzoni ili kuleta hoja zako za CCM
 
Screenshot_20250306-183123_1.jpg
 
Back
Top Bottom