GE2025 Kuna jaribio la kutumia Nguvu Kubwa usiku huu kuzima Maandamano

GE2025 Kuna jaribio la kutumia Nguvu Kubwa usiku huu kuzima Maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,256
Reaction score
44,597
Inahotajika hekima sana kutoka kwa watawala. Wasijaribu kutumia nguvu kubwa na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu kwa vijana Watanzania. Wajue wasije wakafika kwenye point of no return na majuto

Endapo maandamano hayatazimwa usiku huu, Masaa 48 yajayo yatakuwa ya kukumbukwa!
 
Inahotajika hekima sana kutoka kwa watawala. Wasijaribu kutumia nguvu kubwa na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu kwa vijana Watanzania. Wajue wasije wakafika kwenye point of no return na majuto

Endapo maandamano hayatazimwa usiku huu ...Masaa 48 yajayo yatakuwa ya kukumbukwa..
Waambie hao watawala unataka wafanye nini Kwa sasa- trick or treat ndio hiyo inayoyoma- busara waitoe wapi maana options za kuepusha yote haya walizikaa kitambo sana mpaka wakamnyaka Balozi wao…
Washauri wa viongozi wetu hawana tena credibility ya kuendelea na kazi zao… wameshindwa na sasa nchi inatiwa kiberiti. Hii busara haipo, watu walisha fikia a point of no return…
 
Wakimwaga damu labda wao na familia zao wasirudi tena Tanzania
 
Back
Top Bottom