Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Waambie hao watawala unataka wafanye nini Kwa sasa- trick or treat ndio hiyo inayoyoma- busara waitoe wapi maana options za kuepusha yote haya walizikaa kitambo sana mpaka wakamnyaka Balozi wao…Inahotajika hekima sana kutoka kwa watawala. Wasijaribu kutumia nguvu kubwa na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu kwa vijana Watanzania. Wajue wasije wakafika kwenye point of no return na majuto
Endapo maandamano hayatazimwa usiku huu ...Masaa 48 yajayo yatakuwa ya kukumbukwa..