Kuna Jengo limeshika moto Mitaa ya Aggrey na Sikukuu - Kariakoo muda huu (Agosti 31, 2025)

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Hapo hapo maduka, hapohapo, machinga, hapohapo magari yanapark, hapo hapo bodaboda, hapo hapo watembea kwa miguu,

Kupanga ni kuchagua

Kuna watu wanaogopewa inchi hii
 
Nilijua tu lazima liungue we jengo lishike moto halafu lisiungue
 
Wameanzaa tenaa wachomaji kazi yao. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…