Kuna jf members wametu ignore humu ndani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Dah kweli watu hawataki ujinga Kumbe ndo maana naona kimya Sana humu mjengoni Kumbe Kuna watu hawataki kabisa kutusikia wanaona tunawarusha na kuwakata steam.sasa wapeni taarifa sisi haturudi nyuma kamwe na Ni marufuku kukata tamaa.
 
ila mie niwe mkweli 95% ya mada zako huwa hata sihangaiki hata kufungua,nikiona mtoa bandiko ni wewe huwa nakausha japo vichwa vya habari unaweka(ga) vizuri
 
Me, self, i'm on the way to ignore u.
 
Sasa umeniquote wakati mi sioni unachoandika nitajibuje jamani......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…