Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach.
Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000
Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei imeshuka hivi?
Anasema ana kuku wengi kachinja Jana na leo anachukua oda wanaotaka.
Loh kama bei ni hivi watakula wengi sana hizi kuku.
Na wasiwasi tunalishwa vibuduu.