Kuna jirani yetu anauza kuku wa kisasa Tsh. 5000. Ni kwamba kuku wameshuka bei kiasi hiki au ni vibudu?

Kuna jirani yetu anauza kuku wa kisasa Tsh. 5000. Ni kwamba kuku wameshuka bei kiasi hiki au ni vibudu?

YAAN hapa napiga surrath kisruiii

Waje na WA kitimotooo Wala siangali siulizihaoo kwa bei hii ntamalizana nao mapema tyu
 
KUKU 55 zimeisha dk 10
Na amebeba oda kazi IPO JAMAN mle sana na vitunguu swaumu na tangawiziiiiiii kulinda miilili yenu
 
Hivi mbona kitimoto akifa awapunguzi bei KUNA shida gani

Ama akizeeka sana wakamchinja

Awapunguzi bei??
 
Kuna matatu:
1- Kuku wamefikia muda wa kutoka na muuzaji kakosa wateja hivyo kaamua kuchinja kuwatoa( apunguze gharama ya kulisha).
2- Kuku wameugua bandani kwake...hivyo ili asipate hasara ya kutupa kuku wote kaamua kuchinja na kuuza( hili nbkosa kwa walaji...kuna magonjwa yaweza kuhama toka kwa ndege hadi kwa binadamu).
3-Kuku n vibudu...
4-Kuku kawapata kwa njia zisizo halali( wizi)/ ama ameenda kumfirisi mtu hivyo anataka arudishe pesa yake.
Nb: Serikali yetu ingekuw makini hata nyama za kuku zingekua zinakaguliwa kabla ya ya bidhaa kuingia sokoni, wafugaji na wataalamu wa mifugo wangeunda utaratibu. Wataalamu kutembelea mabanda na kupima sample then kutoa kibari cha uuzaji wa kuku ama aliechinjwa/mzima.
Uko sahihi kabisa.
 
Hapa nimeshauri jirani watengenexe juice ya limao tunguu swaumu na tangawizi..na kwenye nyama wazijaze hivi viungo sana kama kujilinda
 
Nunua kula, kuku halali ni yule uliyemfuga na kumchinja mwenyewe. Huko migahawani mnapokula mnakula sana vibudu... Tatizo kilichokushtua ni bei yake lakini ingekuwa 10000 ungenunua.
 
Kwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach.

Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000

Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei imeshuka hivi?

Anasema ana kuku wengi kachinja Jana na leo anachukua oda wanaotaka.

Loh kama bei ni hivi watakula wengi sana hizi kuku.

Na wasiwasi tunalishwa vibuduu.
Bila shaka huyo ni mfugaji anasambaza upendo ili apunguze hasara kwake, kuwa na amani ila lolote linawezekana pia.
 
Huenda anafanya promotion,sema Wabongo bana kila jambo watahisi kuna namna.Ingawa pia inasemwa wasiwasi ni akili.
Hapana aseee... Kuna jombaa huku ameshalisha sana watu mbwa Kwa kujifanya anauza mbuzi majumbani .... Siku Moja akakutwa bwana mtoni anaosha mbwa tatu na mbuzi mmoja anawachanganyia ....asee alipigika ...lakini alifungwa miezi 6 nadhani..
 
Huenda anafanya promotion,sema Wabongo bana kila jambo watahisi kuna namna.Ingawa pia inasemwa wasiwasi ni akili.
Mkuu nunua iphone mkononi useme hivi

YAAN NDUGU watajazana kwa mwamposaa mpaka wachoke kukuombea utoke ulipo....

Promo nazo Zina madhara yake
 
Kwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach.

Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000

Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei imeshuka hivi?

Anasema ana kuku wengi kachinja Jana na leo anachukua oda wanaotaka.

Loh kama bei ni hivi watakula wengi sana hizi kuku.

Na wasiwasi tunalishwa vibuduu.
Njoo geto ule mi nnao kuku wa kienyeji unachinja mwenyewe.
 
Back
Top Bottom