Kuna namnaKwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach.
Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000
Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei imeshuka hivi?
Anasema ana kuku wengi kachinja Jana na leo anachukua oda wanaotaka.
Loh kama bei ni hivi watakula wengi sana hizi kuku.
Na wasiwasi tunalishwa vibuduu.
Mmeuziwa vifaranga vya mbuniKwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach.
Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000
Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei imeshuka hivi?
Anasema ana kuku wengi kachinja Jana na leo anachukua oda wanaotaka.
Loh kama bei ni hivi watakula wengi sana hizi kuku.
Na wasiwasi tunalishwa vibuduu.
Ooooh**** nimfugaji utaelewa kuna mda kuku wameshatimiza muda wakuchinja nasoko huna inabid uforce kuwachinja ili wasiendelee kukutia hasara yakuwalisha
Kama una wasiwasi nazo husinunue mkuu. Hiyo bei inatia mashaka inawezekana ikawa kama mdau alivyosema 👇Nduguu nimeogopa HATA kuziangalia
Akili inanijia
Za WIZI
2..kibuduuuuu
3
4
5
EMBU share ideas maana kesho anarudid Tena na kabeba oda za KUKU kama 20
Ina wezekana ni WA mayai ila wame goma kutaga, au broila wame fika mda wa kuuzwa ila kakosa soko.
broila waki fika mda wa kuuzwa, uka endelea kuwa lisha ni hasara.
Takbirrr YAAN sitaki hataUkila kuku wa kizungu legelege na jongoo nalo linakuwa legelege
Aisee kumbe haya madawa yanaongezeka kuongeza NGUVU hili jambo linachangia eeh mmh kaziipo KUNA shule nulienda nkakutaa watotoo wanenenee wengine wanaume Wana kama maziwa aisee nahisi kaziwanayoUkila kuku wa kizungu legelege na jongoo nalo linakuwa legelege
Kuna matatu:Kwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach.
Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000
Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei imeshuka hivi?
Anasema ana kuku wengi kachinja Jana na leo anachukua oda wanaotaka.
Loh kama bei ni hivi watakula wengi sana hizi kuku.
Na wasiwasi tunalishwa vibuduu.
Kabisa mkuu YAAN haya magonjwa mengi wanakufa watyu sababu ya MsosiKuna matatu:
1- Kuku wamefikia muda wa kutoka na muuzaji kakosa wateja hivyo kaamua kuchinja kuwatoa( apunguze gharama ya kulisha).
2- Kuku wameugua bandani kwake...hivyo ili asipate hasara ya kutupa kuku wote kaamua kuchinja na kuuza( hili nbkosa kwa walaji...kuna magonjwa yaweza kuhama toka kwa ndege hadi kwa binadamu).
3-Kuku n vibudu...
4-Kuku kawapata kwa njia zisizo halali( wizi)/ ama ameenda kumfirisi mtu hivyo anataka arudishe pesa yake.
Nb: Serikali yetu ingekuw makini hata nyama za kuku zingekua zinakaguliwa kabla ya ya bidhaa kuingia sokoni, wafugaji na wataalamu wa mifugo wangeunda utaratibu. Wataalamu kutembelea mabanda na kupima sample then kutoa kibari cha uuzaji wa kuku ama aliechinjwa/mzima.