Kuna kababu ka kizungu kanatembea kichizi kwa miguu.

Kuna kababu ka kizungu kanatembea kichizi kwa miguu.

Kanavaa na raba zinazofanana nyeupe hivi. Kanachomekea hope shati lake ni la mikono mirefu ila Huwa analikunja mikononi. Mara nyingi Huwa anabeba mfuko mkononi hii mifuko mipya mbadala wa plastic na Huwa anauviringisha mithiri ya kibundu 🤣🤣🤣sivyo?​
 
Huyo babu anatoka sinza mpk masaki pale village kila siku kwenda na kurudi.
 
Tarafa ya machame mashariki to Boma Ng'ombe ilikuwa Kwa week mara mbili .
 
Unazijua 43km au unaongea tu. Binadam hutembea 10 km kwa saa. Ili uarchieve hizo km zako ina maana utembeemasaa 4.5 hadi 5 uliongea kutoka mbezi hadi ubungo hazifiki hata 20km
Labda akiwa anakimbia ndiyo huyo binadamu aweze kutembea 10km kwa saa.
Angalau labda 5km kwa saa kwa kutembea tena atembee kwelikweli
 
Back
Top Bottom