Kuna kabenki kanaitwa mwanga, kananikakata kila mwezi kwenye mshahara

Kuna kabenki kanaitwa mwanga, kananikakata kila mwezi kwenye mshahara

Kiongozi
Ujue meseji za madai ya mikopo huwa zinatumwa kwa mkupuo (na komputa) kila tarehe waliyo chagua zitumwe kwa watu wote wanaodaiwa. Hivyo; kama ulikopa kwao na unaendelea kufanya marejesho kwa wakati, ukipata meseji yakukumbushia marejesho ipuuzie (ni komputa imetuma).
 
Ni kwamba mimi ndio nimeanza kuisahau hii lugha au mwandishi ndio kaandika vitu visivyo eleweka?
 
hako kabenki mbona hakajulikani kanamilikiwa na nani
 
Back
Top Bottom