Tetesi: Kuna kamanda wa Iran ameuliwa Syria muda huu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
It is just a rumors bado haijawahi comfirmed ila ndo habari iliyonifikia muda huu kama Breaking news

#BREAKING: Reports claim another high-ranking IRGC official has been assassinated in Syria.
 
Alipokuwa Washington last week Netanyahu ameambiwa amalize vita. Na kumaliza vita ni kuwaua viongozi wa Hamas na Hezbollah wanaotoa amri na fedha kwa wapiganaji wa Hamas.

Sofar wafuatao wamesha dondoshwa:-
1. Fuad Shukur- Hezbollah (Chief of Staff)
2. Ismail Haniyeh- Hamas (Supreme Commander)

Walio kwenye target ni:-
1. Yahya Sinwar -Hamas
2. Hassan Nasrallah- Hezbollah
 
Huyu kipindi cha msiba wa Ebrahim Raisi alionekana akijiapiza kwa miungu yote ya kiajemi. In three months kapelekwa kule kule.

Anyway, Netanyahu akiwa Washington last week alishauriwa "it has taken too long; end it now". Yuko fasta kweli kutekeleza ushauri ule.
Taarifa Bado haijathibitishwa
 
Huyu kipindi cha msiba wa Ebrahim Raisi alionekana akijiapiza kwa miungu yote ya kiajemi. In three months kapelekwa kule kule.

Anyway, Netanyahu akiwa Washington last week alishauriwa "it has taken too long; end it now". Yuko fasta kweli kutekeleza ushauri ule.
Nimekumbuka Trump alimuambia End the War haraka
 
Alipokuwa Washington last week Netanyahu ameambiwa amalize vita. Na kumaliza vita ni kuwaua viongozi wa Hamas na Hezbollah wanaotoa amri na fedha kwa wapiganaji wa Hamas.

Sofar wafuatao wamesha dondoshwa:-
1. Fuad Shukur- Hezbollah (Chief of Staff)
2. Ismail Haniyeh- Hamas (Supreme Commander)

Walio kwenye target ni:-
1. Yahya Sinwar -Hamas
2. Hassan Nasrallah- Hezbollah
Wa mwisho ni Ayatollah Ally Khamnei
 
Huyu kipindi cha msiba wa Ebrahim Raisi alionekana akijiapiza kwa miungu yote ya kiajemi. In three months kapelekwa kule kule.

Anyway, Netanyahu akiwa Washington last week alishauriwa "it has taken too long; end it now". Yuko fasta kweli kutekeleza ushauri ule.
Hahahaha 😆 😆 😆 😆 😂
 
Alipokuwa Washington last week Netanyahu ameambiwa amalize vita. Na kumaliza vita ni kuwaua viongozi wa Hamas na Hezbollah wanaotoa amri na fedha kwa wapiganaji wa Hamas.

Sofar wafuatao wamesha dondoshwa:-
1. Fuad Shukur- Hezbollah (Chief of Staff)
2. Ismail Haniyeh- Hamas (Supreme Commander)

Walio kwenye target ni:-
1. Yahya Sinwar -Hamas
2. Hassan Nasrallah- Hezbollah
Israel wakijaribu kwa hao watu patachimbika waislam ni watu wenye umoja sana hawatokubali viongozi wao wauwawe
 
Back
Top Bottom