Tetesi: Kuna kamanda wa Iran ameuliwa Syria muda huu

Tetesi: Kuna kamanda wa Iran ameuliwa Syria muda huu

Huyu kipindi cha msiba wa Ebrahim Raisi alionekana akijiapiza kwa miungu yote ya kiajemi. In three months kapelekwa kule kule.

Anyway, Netanyahu akiwa Washington last week alishauriwa "it has taken too long; end it now". Yuko fasta kweli kutekeleza ushauri ule.
Aisee
 
Back
Top Bottom