Azizi Tambauone
New Member
- May 4, 2024
- 1
- 1
Kuna namna fulani ya halmashauri pamoja na tume yetu ya kazi/ajira hapa nchini Tanzania inachangia kwa asilimia kubwa sana wafanyakazi kukosa stahiki zao kutoka kwa Waajiri wao hususani private sector.
Nlikuwa nafanya kazi Kampuni fulani ambayo makao makuu yapo Dar es salaam ila kituo cha kazi nilipangiwa Mbeya kama fundi mechanics ila kutokana na changamoto za Muajiri kuwa nyingi ikiwemo kutokulipwa mishahara mpaka miezi 3, kila ukijaribu kudai anaona usumbufu na kuamua kukublock and by that time nilikuwa Supervisor so kundi kubwa la watu niliowaongoza walikuwa wakinisumbua mimi kama Kiongozi wao.
"Nakumbuka mpaka mmoja wapo alitolewa vyombo nje na mwenye nyumba wake kwa sababu ya kuchelewa kupia kodi" na mwingine aliumwa ila pesa ya matibabu nilitoa mimi mfukoni mwangu tena baada ya kupiga simu home kwangu na kutumiwa as pocket money kwani hatukuwa na nssf, health insurance, overtime wala night allowance na hapo hatujalipwa takribani miezi 2 na tupo porini mixer kulala na nyoka vyumbani, nge, tandu yaani kawaida tu.
Ilifika wakati mishahara ikawa mingi ipo kwao mpaka six months so niliamua kuresign kwa sababu kuu ni " mazingira magumu kutoka kwa muajiri wangu" hivyo niambatanishiwe stahiki zangu zote ninazowadai kwa kuwa mkataba waliyonipea ulikuwa tayari umeshafika tamati.
Lakini, hawakunijibu kwa miezi so niliamua kutafuta Wakili ili kurahisisha kazi yangu. Wakili wa halmashauri fulani mkoani Dar es salaam and same district na headquarter za Kampuni ila alinambia kwamba hawa wana hela so watakusumbua kama vipi achana nao, nikaona sio swala nikaamua kufika mahakama ya kazi kabisa i mean kwa CMA na yeye alinambia inabidi nianzie kwenye kiini cha kazi yaani nitoke Dar es salaam niende kufungua kesi mkoani Mbeya wakati sina kazi wala sina hela.
Ni wazi kabisa mnatudhulumu haki zetu ndio maana mnatuwekea vipengele vigumu vya kisheria ili tushindwe kufuatilia kwa kuwa kwenye familia zetu hatuna Wabunge wala Mawaziri, ila jasho na damu zetu hazitawaacha salama, msipo lipa hapa duniani mtatulipa mbele ya Mwenyezi Mungu (S.W) tena kwa kishindo kikubwa.