Kuna kampuni ya wakopeshaji mtandaoni. Wamenipa mkataba mtandaoni wanadai niliridhia, ninawashtaki

Kuna kampuni ya wakopeshaji mtandaoni. Wamenipa mkataba mtandaoni wanadai niliridhia, ninawashtaki

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki.

Kuna kampuni nyingi kwenye mitandao inachukua taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho.

Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
 
These people are thie6in in the umbrella of free trade. Its not in Tanzania labda waziri wa fedha azubae lkk sheria hailali. Nitalala nao
 
Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki.

Kunakampuni nyingi kwenye mitandao inachukuq taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho.

Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
Huenda wana kosa la kukosa vibali au kutoza riba kubwa lakini sidhani kama mtu unaweza kukopeshwa kwa nguvu (labda kwa udanganyifu na ulaghai) ila sio nguvu, yaani kulazimishwa
 
Zamani nilihisi benki zilikiwa na mikono ya wakubwa kwamba mikopo na riba na marejesho haziangakiwi naona tunaelekea kuumizana zaidi.

Hawa watu

Wanakupigia simu wanakutukana. Huwa narekodi naweka taarifa
Nimedownload contract na kuona mapungufu mengi ikiwa ni pamoja na ulaghai.

Tanzanihuu wizi ni wa kipuuz sana
 
Lipa deni wewe acha janja janja.
Wamefundishwa kutomsikiliza mtu akiongea. Wanaongea baada ya kupokea. Awali simu yangu ilionesha namba iko blocked kwa sabab ni spam ila baadae nikagundua these guys hutumia namba nyingi wanapohisi wako blocked wateja wao.wengi wanawablock ama kubadili line.

Sikujua jambo hili nimejikuta nalipa deni 80%

Ila kwann wako blocked kwenye simu yangu?? Ni kwamb washakuwa reported several times.

FedhaBook WAZIRI JR CCMT
 
Ndugu,Rafiki,Jamaa wa ....... , Mwenye NO.071....... .Ninasikitika kukutaarifu Kwamba amebainika kuwa Mwizi Mbadhilifu na Tapeli wa Mikopo ya Mtandaoni.Kampuni yetu Tunachukua Maamuzi kwa kushirikiana na POLICE2 pamoja na TCRA (act5:1-2015) ya kusambaza taarifa zake Mitandaoni na vituoni ili tuweze kumpata.Tafadhali tunakusihi umpe taarifa kuwa anatakiwa kufanya Marejesho ya mkopo wake wa Tsh 30,000 /= leo kutoka CREDIT LAB(9credit).

HIVI TCRA NA POLISI (NA MAMLAKA ZINGINE HUSIKA) WAMEBARIKI HUU UPUUZI?
YAANI MKOPAJI UNAWEZA KUWA UNAMJUA, ILA HUJUI KAMA AMEWAHI KUKOPA NA KUKUANDIKA WEWE KAMA (SIJUI) MDHAMINI!!
 
Kuliko nikope hii mikopo ya hivi bora nisiwe na hela.
 
Ukweli jamaa ana hoja, haya ya kusingiziwa deni la riba kubwa yapo huko kwenye nchi za ulaya tulizoiga huu mfumo.
Haya mambo yanasababishwa na ujinga wa watanzania kuenda kila sehemu na kuacha taarifa zao binafisi hata humu JF.
 
Back
Top Bottom