Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Huenda wana kosa la kukosa vibali au kutoza riba kubwa lakini sidhani kama mtu unaweza kukopeshwa kwa nguvu (labda kwa udanganyifu na ulaghai) ila sio nguvu, yaani kulazimishwaSerikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki.
Kunakampuni nyingi kwenye mitandao inachukuq taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho.
Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
Wamefundishwa kutomsikiliza mtu akiongea. Wanaongea baada ya kupokea. Awali simu yangu ilionesha namba iko blocked kwa sabab ni spam ila baadae nikagundua these guys hutumia namba nyingi wanapohisi wako blocked wateja wao.wengi wanawablock ama kubadili line.Lipa deni wewe acha janja janja.
Yaani hawa jamaa nimewaona kabisa ni Witch hunter they re crazyUtatulipa tu hata kama ukishtaki JF.
Alaaaaaaaa, alaaaaaaYaani hawa jamaa nimewaona kabisa ni Witch hunter they re crazy
Kuliko nikope hii mikopo ya hivi bora nisiwe na hela.Ndugu,Rafiki,Jamaa wa ....... , Mwenye NO.071....... .Ninasikitika kukutaarifu Kwamba amebainika kuwa Mwizi Mbadhilifu na Tapeli wa Mikopo ya Mtandaoni.Kampuni yetu Tunachukua Maamuzi kwa kushirikiana na POLICE2 pamoja na TCRA (act5:1-2015) ya kusambaza taarifa zake Mitandaoni na vituoni ili tuweze kumpata.Tafadhali tunakusihi umpe taarifa kuwa anatakiwa kufanya Marejesho ya mkopo wake wa Tsh 30,000 /= leo kutoka CREDIT LAB(9credit).
HIVI TCRA NA POLISI (NA MAMLAKA ZINGINE HUSIKA) WAMEBARIKI HUU UPUUZI?
YAANI MKOPAJI UNAWEZA KUWA UNAMJUA, ILA HUJUI KAMA AMEWAHI KUKOPA NA KUKUANDIKA WEWE KAMA (SIJUI) MDHAMINI!!