KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
huwa unawaza kitu tofauti na Dini? Sasa upo Kenya , Kunduchi Dar es Salaam unasikia vipi

Huwa mnakera sana, mkishaamsha watu na hayo makelele ya kiarabu halafu mchana mnakatiza na mikanzu na mindevu yaani fulu kero, muarabu aliwaharibu nyie watu.
 
Acha upumbavu hakuna ofisi ya local government huku.Peleka malalamiko yako physically kwa mwenyekiti wako wa mtaa
 
Waliotuletea hizi dini walituweza sana. Tumekuwa na taifa la misukule.
 
Kuna watu huku mkuu wanaendekeza sana kelele. Yaani wanapiga kelele mara tano kwa siku. Watu wanakatishwa usingizi kila siku
Sisi huku wakimaliza ibada wanaweza tape ya mihadhara/mawaidha siku nzima!!! Sijui hawa watu huwa wanafanya kazi muda gani? Aliyetuletea hizi dini alitumaliza.
 
Mtu umejilalia zako ghafla unaskia majitu yanabwatuka kiarabu kwenye spika na kuzindua kila mtu.
Na siyo kubwatuka tu ila kutishana...utasikia "hilo shuka ndo sanda yako na hicho kitanda ndo jeneza lako"
 
Jengen kanisaq
Wajenge kanisa ili iweje? Ili waongeze kelele!?
Umeambiwa shida ni kelele, wapunguze...we unakuja na solution ya kuongeza kelele nyingine!
 
Sijausoma hata ujumbe wenyewe. Kichwa cha habari tu kinatosheleza.

Nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na au desturi.

Moja ya haki ya kidemokrasia ni desturi ya wengi ktk eneo fulani la utawala, mf mtaa, kitongoji, kata na kuendelea ambapo jamii ya wengi ktk eneo hilo hutunga Sheria (Wengi Hushinda). Ndio maana tuna uchaguzi kuanzia ngazi ya mtaa.


Kama Watanzania tunaishi kwa utofauti wa kitamaduni ambao unakaribisha na kukubali watu kutoka mazingira yote ya kijamii, kisiasa, kidini, kikabila na kieneo.

Watu wote wako huru kufuata dini yao na tamaduni zao za asili bila kusahau kuwa kuna utamaduni za wengi ktk eneo hilo.

Na kwamba ili kuepusha mfarakano usio wa lazima wachache wanapaswa kufungwa na kuzuiliwa mara tu tamaduni zao zinapokinzana na tamaduni za wengi za eneo hilo. Katika hali kama hiyo je eneo unaloishi wazawa wengi ni watu wenye tamaduni inayounga mkono adhana au inayohisi ni kelele.

Ili kuweka utaratibu mzuri zaidi wa kisheria ndio maana mara zote naunga mkono, kuundwa kwa utawala wa Serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Si tu kwa Zanzibar bali pia Tanzania Bara kwa hatima yetu vizazi vyetu. Kama Tanganyika ingekuwa na mfumo wa Serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe ukweli mfumo huu tulionao wa Serikali ambapo mji mkuu uko chini ya utawala wa jamii minority, ukweli tusinfekuwa na vurugu za mabucha ya nguruwe manzese.

Kwa sababu si tu sheria za Serikali za mitaa zinakataza kuuza uchafu huu maeneo ya jamii ambapo wengi ni hawatumii bidhaa hiyo bila ya shaka ingawa wengi wa watendaji wa Serikali wanatumia bidhaa hiyo lkn kiutawala wao ni minority.
 
Iringa wakisikia kelele hizo wanapiga manatati spika hizoπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ mitaa yenye msikiti kupo kimya hakuna kelele tena πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ labda msikiti uwe mbali na watu au stend😁😁😁
 
Wahubiri wengi wanaotumia maspika huwa wana tatizo la afya ya akili.
Hawajui kuwa ujumbe wao ungepokelewa vizuri kwa sauti ya chini na ya kistaarabu.
Halafu muda mwingine wanafanya sala kabisa (kuwasiliana na Mungu) kwa kutumia spika, kama vile Mungu ana tatizo la kusikia. Kama sio utaahira, nini?
 
yeah kweli kabisa ni kero sana
 
Mkimaliza huko mje huku kwangu nimezungukwa na makanisa matatu haya ya reja reja watu hawazidi watano! Lakini kuanzia Ijumaa ni mkesha kelele za muziki, maombi ya kufokafoka! Sasa zidisha mara 3!
 
Mkimaliza huko mje huku kwangu nimezungukwa na makanisa matatu haya ya reja reja watu hawazidi watano! Lakini kuanzia Ijumaa ni mkesha kelele za muziki, maombi ya kufokafoka! Sasa zidisha mara 3!

Kelele haina tija kabisa mbele za Mungu
 
Iringa wakisikia kelele hizo wanapiga manatati spika hizoπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ mitaa yenye msikiti kupo kimya hakuna kelele tena πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ labda msikiti uwe mbali na watu au stend😁😁😁

Safi sana Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…