Kuna kibali cha kutembea na gari bila plate number kama Diamond Platnumz afanyavyo?

Inamana hii gari bado hajasajiri tu au anasubiri namba E😀
 
Sasa ipo moja tu Tanzania nzima kila mtu anaijua ni gari ya Diamond,number plate ya haja gani sasa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…