kuna kifurushi kisichozidi elf 2 kwa mwezi cheny mb chache kwajili ya Gps Tracking, Kusoma email, Ving'amuzi, mashine za wakala, n.k. ?

kuna kifurushi kisichozidi elf 2 kwa mwezi cheny mb chache kwajili ya Gps Tracking, Kusoma email, Ving'amuzi, mashine za wakala, n.k. ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
kuna vifaa au shughuli za mitandaoni zinahitaji mb chache sana, mfano gps ya gari inahitaji mb 60 tu kwa mwezi, kusoma emails maybe mb 80 tu kama hakuna attachments, kuna vingamuzi navyo vinahitaji mb chache kwajili ya updates, mashine za pos za miamala huhitaji kiasi kidogo cha data, n.k. ?

je kuna mtandao una vifurushi hivi ?
 
Airtel mb 900 sh 2000 duration mwaka,

Screenshot_2026-06-05-15-12-49-08_61092efd66ee73277ec61c4153b12d36.jpg
 
Back
Top Bottom