Kuna kijana anauliza huu ni mshahara kiasi gani 'TRAS 1:1' ?

Kuna kijana anauliza huu ni mshahara kiasi gani 'TRAS 1:1' ?

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Ufafanuzi wakuu hapa kuhusu hiki kiwango cha mshahara .
 
Anataka kujua wa nini??? Akipewa barua ya ajira mshahara huo atauona! Mshahara ni siri ya mwajiriwa
 
Endelea kusubiri. Huenda watakuja wanaofahamu wakakupatia jibu sahihi.
 
Back
Top Bottom