johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Senegal imeshatinga fainali na Taifa stars imeshafanikiwa kushika nafasi ya 24 kati ya timu 24.
Basi tusubiri fainali tuujue ukweli lakini pia jibu tunaweza kulipata baada ya mechi ya Algeria vs Nigeria inayopigwa sasa!