Kuna kila dalili bingwa wa Afcon na mshindi wa mwisho wote wakatoka kundi moja lililoijumuisha Taifa stars

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Senegal imeshatinga fainali na Taifa stars imeshafanikiwa kushika nafasi ya 24 kati ya timu 24.

Basi tusubiri fainali tuujue ukweli lakini pia jibu tunaweza kulipata baada ya mechi ya Algeria vs Nigeria inayopigwa sasa!
 
Kwa lugha nyepesi na iliyo nyoofu kabisa hapa unataka ama Kutuambia au Kutuaminisha nini labda Sisi Watanzania?
 
Back
Top Bottom