Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa kulumangia!
Watengeneza Sanamu ya Nyerere wote waliojaribu wameshindwa kabisa kututengenezea sura yenye muonekano wa Nyerere, ikumbukwe kwamba hawa wamelipwa mamilioni ya pesa, huku picha halisi ya Nyerere ikiwa imezagaa kila Mahali, kwamba hata wangetaka kuigizia wangeweza, sasa wanachoshindwa ni nini? Hapa bila shaka kuna jambo la kimila.
Nashauri kwamba tusiendelee kupoteza muda kutengeneza sanamu la Nyerere, hatutafanikiwa.