Kuna kila dalili Pep Gudiola kupanga matokeo ili kumrahisishia kijana wake Arteta kwenye mbio za ubingwa

Man united, Chelsea, Liverpool, Totenham ndio wanaoongoza kupanga matokeo Arsenal achukue ubingwa. Maana wote hao kawakung'uta.

unamlaumu vipi Guardiola ambaye hajakutana na mwenge usiovuka kijiji.
 
Inaonekana Pep Gudiola amekinai ubingwa wa Epl kwasababu amechukua mara nne ndani ya miaka mitano

Pep kinachombakisha Manchester city ni aibu ya kuondoka bila kuchukua kombe la Uefa
Amebaki kwasababu hiyo na possibly anaweza asibebe

Sasa turudi kwenye uzi

Ukiangalia kiufundi mechi za ligi alizopoteza

Brentford L
Everton D
Aston villa D

Ukiangalia kiufundi hizi mechi gardiola alipanga matokeo nafasi ya kushinda alikuwa nayo lakini kimkakati aliwaambia wachezaji wa relax

Alizidharau hizi mechi unajua kwanini alizidharau mwanzoni ili kumtengenezea gap arteta na kumuondolea presha ya kukaa pale juu

Ukitaka kuamini hili angalia mechi inayofuata dhidi ya arsenal na manchester city kwenye FA

Manchester city atashinda kirahisi kwasababu Pep ataitaka mechi

Ila kwenye ligi arsenal ana mechi mbili dhidi ya manchester city

Probably manchester city anaweza kumwachia kijana wake achukue point nne
Meaan arsenal ashinde moja na sare

Pep Gudiola hawezi kujubali manchester united achukue ubingwa anaona bora amwachie kocha arteta

Ndio maana alivyofungwa na manchester united ilimuuma sana kwasababu malengo ya kuntengenezea arteta kulikuwa kunsingia mchanga

Epl iwachunguze hawa makocha if possible wafukuzwe uingereza kwa kujaribu kuchafua ligi

How possible on Earth timu mbovu iongoze ligi to date

No no haiwezekani huu ujinga tusiuvumilie tupige kelele
Kweli ujinga kipaji.
 
Whaaaaaaat?!!
 
Ndio maana alivyofungwa na manchester united ilimuuma sana kwasababu.

Yaani nilivyofika hapo Nika conclude.

Na nakubali asernal is not a football team ni maigizo tu
 
Inaonekana Pep Gudiola amekinai ubingwa wa Epl kwasababu amechukua mara nne ndani ya miaka mitano

Pep kinachombakisha Manchester city ni aibu ya kuondoka bila kuchukua kombe la Uefa
Amebaki kwasababu hiyo na possibly anaweza asibebe

Sasa turudi kwenye uzi

Ukiangalia kiufundi mechi za ligi alizopoteza

Brentford L
Everton D
Aston villa D

Ukiangalia kiufundi hizi mechi gardiola alipanga matokeo nafasi ya kushinda alikuwa nayo lakini kimkakati aliwaambia wachezaji wa relax

Alizidharau hizi mechi unajua kwanini alizidharau mwanzoni ili kumtengenezea gap arteta na kumuondolea presha ya kukaa pale juu

Ukitaka kuamini hili angalia mechi inayofuata dhidi ya arsenal na manchester city kwenye FA

Manchester city atashinda kirahisi kwasababu Pep ataitaka mechi

Ila kwenye ligi arsenal ana mechi mbili dhidi ya manchester city

Probably manchester city anaweza kumwachia kijana wake achukue point nne
Meaan arsenal ashinde moja na sare

Pep Gudiola hawezi kujubali manchester united achukue ubingwa anaona bora amwachie kocha arteta

Ndio maana alivyofungwa na manchester united ilimuuma sana kwasababu malengo ya kuntengenezea arteta kulikuwa kunsingia mchanga

Epl iwachunguze hawa makocha if possible wafukuzwe uingereza kwa kujaribu kuchafua ligi

How possible on Earth timu mbovu iongoze ligi to date

No no haiwezekani huu ujinga tusiuvumilie tupige kelele
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣how comes team bora inapigwa na Brighton, hakika mnateseka na uzuri wake hamjifichi
 
Basi kipara atakuwa farasi kweliii
Inaonekana Pep Gudiola amekinai ubingwa wa Epl kwasababu amechukua mara nne ndani ya miaka mitano

Pep kinachombakisha Manchester city ni aibu ya kuondoka bila kuchukua kombe la Uefa
Amebaki kwasababu hiyo na possibly anaweza asibebe

Sasa turudi kwenye uzi

Ukiangalia kiufundi mechi za ligi alizopoteza

Brentford L
Everton D
Aston villa D

Ukiangalia kiufundi hizi mechi gardiola alipanga matokeo nafasi ya kushinda alikuwa nayo lakini kimkakati aliwaambia wachezaji wa relax

Alizidharau hizi mechi unajua kwanini alizidharau mwanzoni ili kumtengenezea gap arteta na kumuondolea presha ya kukaa pale juu

Ukitaka kuamini hili angalia mechi inayofuata dhidi ya arsenal na manchester city kwenye FA

Manchester city atashinda kirahisi kwasababu Pep ataitaka mechi

Ila kwenye ligi arsenal ana mechi mbili dhidi ya manchester city

Probably manchester city anaweza kumwachia kijana wake achukue point nne
Meaan arsenal ashinde moja na sare

Pep Gudiola hawezi kujubali manchester united achukue ubingwa anaona bora amwachie kocha arteta

Ndio maana alivyofungwa na manchester united ilimuuma sana kwasababu malengo ya kuntengenezea arteta kulikuwa kunsingia mchanga

Epl iwachunguze hawa makocha if possible wafukuzwe uingereza kwa kujaribu kuchafua ligi

How possible on Earth timu mbovu iongoze ligi to date

No no haiwezekani huu ujinga tusiuvumilie tupige kelele
 
Unaishabikia asernal bure. Haina kitu Chochote..wachambuzi wanaongea kila saa.... asernali haijakamilika ukitaka ubingwa isajili hii Januari
 
Back
Top Bottom