Kuna kila dalili Simba kupigwa hamsa na Wamorocco

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.😭😭

Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.

Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
 
Una maanisha hamsa km hivi[emoji116]
hqdefault(5).jpg
 
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.[emoji24][emoji24]

Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.

Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Lupaso sio rahisi kufungwa goli zote hizo ingawa hata mimi natamani wafungwe zaidi ya hizo.
 
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.😭😭

Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.

Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Raja siyo Wazuri kihivyo...sanasana droo ya 3-3
 
Pale nyuma jumamosi ni matatizo, hapo kati kabisa, ndemla na mkude ni matatizo. Hauna namna simba anachomoka hapo keshokutwa.
 
Back
Top Bottom