Kuna kila dalili Simba kupigwa hamsa na Wamorocco

Una maanisha hamsa km hivi[emoji116]View attachment 2519355
Hii unaikumbuka au ulikuwa bado unalalia ngozi ya mbuzi kwenu mbwinde
FB_IMG_1676525459195.jpg
 
Tunaogopa Ban lakini wewe ni mzinguaji sana.

UNAPATA FAIDA Gani kukaa na kuandika Pumba kiasi hicho.

Tafuta vitabu tafuta Bible soma
Wewe KULETA habari mbovu tu za Simba.

MSHAMBA SANA WEWE.
 
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.[emoji24][emoji24]

Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.

Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa

IMG_8001.jpg

Vile shabiki wa mkia akiangalia Uzi
 
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.😭😭

Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.

Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Hizi ndizo ramli chonganishi...
 
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.[emoji24][emoji24]

Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.

Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Wewe ni yanga
 
Tunaogopa Ban lakini wewe ni mzinguaji sana.

UNAPATA FAIDA Gani kukaa na kuandika Pumba kiasi hicho.

Tafuta vitabu tafuta Bible soma
Wewe KULETA habari mbovu tu za Simba.

MSHAMBA SANA WEWE.
Mkuu don't take it too personal... Hili ni jukwaa huru na sijavunja Sheria za nchi
 
Back
Top Bottom