babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Ndio mkuu. Yaani najuta kwanini tuliwacheka vipers, maana kile kipigo walichopewa vipers nakiona kikija na kwetuUna maanisha hamsa km hivi[emoji116]View attachment 2519355
Lupaso sio rahisi kufungwa goli zote hizo ingawa hata mimi natamani wafungwe zaidi ya hizo.Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.[emoji24][emoji24]
Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.
Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Kama walizofungwa uto na mnyamaLupaso sio rahisi kufungwa goli zote hizo ingawa hata mimi natamani wafungwe zaidi ya hizo.
Usijifiche nyuma ya kisoda, onyesha uhalisia wakoNdio mkuu. Yaani najuta kwanini tuliwacheka vipers, maana kile kipigo walichopewa vipers nakiona kikija na kwetu
Khamsa swalawatUna maanisha hamsa km hivi[emoji116]View attachment 2519355
Raja siyo Wazuri kihivyo...sanasana droo ya 3-3Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.ππ
Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.
Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Sare itokee wapi? Tuna goli zetu sio chini ya 5 hapoSimba ya msimu huu kuifunga Raja Casablanca, ni shughuli pevu! Wapambane wapate hata sare tu.
Tena kwa mkapaNdio mkuu. Yaani najuta kwanini tuliwacheka vipers, maana kile kipigo walichopewa vipers nakiona kikija na kwetu