SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hii unaikumbuka au ulikuwa bado unalalia ngozi ya mbuzi kwenu mbwindeUna maanisha hamsa km hivi[emoji116]View attachment 2519355
Moja lenyewe Raja wamejifunga.Simba atapigika kama paka mwizi[emoji23][emoji23]
Utabiri wangu ni Simba 1-7 Raja
Ndio mkuu ilo Moja ni la kujifunga. Watajuta Hawa pimbi[emoji23][emoji23]Moja lenyewe Raja wamejifunga.
Tupe kidogo fununuMimi nimeshayaona matokeo ya timu zote, nutayaweka Jumamosi asubuhi panapo uhai...
Team zetu tuna magoli yatafungwa ila... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tony92Tupe kidogo fununu
Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.[emoji24][emoji24]
Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.
Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Hizi ndizo ramli chonganishi...Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.😭😭
Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.
Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Wewe ni yangaKila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.[emoji24][emoji24]
Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.
Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Mi Simba damdamWewe ni yanga
Mkuu don't take it too personal... Hili ni jukwaa huru na sijavunja Sheria za nchiTunaogopa Ban lakini wewe ni mzinguaji sana.
UNAPATA FAIDA Gani kukaa na kuandika Pumba kiasi hicho.
Tafuta vitabu tafuta Bible soma
Wewe KULETA habari mbovu tu za Simba.
MSHAMBA SANA WEWE.
Tayari wametua Leo mkuu kuja kuwabaka hawa MikiaHivi Hawa raja washaingia bongo au bado,wajitahidi kuwahi
Simba Sc klabu ya taifa inatafuta ushindi, sare peleka utopoloni..Simba ya msimu huu kuifunga Raja Casablanca, ni shughuli pevu! Wapambane wapate hata sare tu.