Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

Mpira ni pesa ndo ukasajili mchezaji aliyebakiza miezi miwili kwenye mkataba kwa $200K?[emoji23]
Hili nalo neno, je wakimuongezea mkataba kimya kimya na dau kupanda zaidi ya hilo je? Usajili ni mahesabu ya pesa
 
Kwani moses phiri tulimpataje? Walipokuja kucheza na utoh kwenye tamasha lao tukampa pre contract
Kwaiyo umeambiwa pre contract inamzuia mchezaji kusajiliwa na timu nyingine ndo unavyojidanganya? Anasaini pre contract na anapata timu nyingine yenye dau kubwa mnarudishiwa pesa yenu anasepa kwingine, ule sio mkataba rasmi ile kitu ni Kama kishika uchumba ambacho asilimia kubwa anayekuwa anajua Kama kipo au akipo ni mchezaji na timu inayomtaka lakini klabu inayommiliki inakuwa aijui chochote ndo maana simba walimsainisha pre contract bila mawasiliano na klabu yake inayommiliki matokeo yake wameambiwa dau lake wakakwamia apo, na awana cha kumfanya zaidi ya kurudisha pesa yao waliyompa na vipers itamuuza kwenye timu itakayofika bei na si vinginevyo
 
Ndio Simba Ina Hela lakini sio za kuharibu...

Dogo mwenyewe anaipenda simba ngoja mkataba uishe aje free
Zama za mchezaji kupenda timu hazipo pesa kwanza ingekua hivyo Samatta angekua Simba
 
Back
Top Bottom