Kuna kila dalili taifa stars haitopata matokeo mazuri dhidi ya lesotho

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,404
Naomba nieleweke sio kwamba naiombea mabaya taifa stars ila najaribu kueleza dalili za taifa stars zitakazosababisha kutopata matokeo ya kueleweka dhidi ya lesotho.

Kwa uzoefu wangu wa kuifuatilia taifa stars kwa muda sasa...

Taifa stars hupata matokeo pale kunapokuwa na shinikizo kubwa kutoka kwa mashabiki na viongozi wa nchi hadi wa soka

Sasa hili shinikizo huwa linaongeza morali kwa wachezaji na kuwafanya wapambane kufa na kupona kupata matokeo

Mpaka sa iv tunavyoongea taifa stars wako peke yao afrika kusini.
Sio rais wa tff wala mashabiki wapo kwa ajili ya kuwaongezea morali wachezaji ...na sidhani hta km kuna kiongozi mkubwa wa serikali yupo afrika kusini

Nilichotegemea kuona raisi wa tff, waziri mwakyembe na wadau wa soka naxkundi la mashabiki wakiongozana na kikosi afrika kusini kwa ajili ya kuwatengenezea mazingira wachezaji waone hii mechi ni ya kufa na kupona na matokeo ya hii mechi yana maana kubwa sana kwa taifa

Kwa kifupi sioni amsha amsha km tulivyozoea taifa stars ikikaribia kucheza mechi yenye umuhimu mkubwa.

Yaan hta redio hawaizungumzii kiivo timu ya taifa s badala yake zimejikita kuzungumzia uchaguzi wa yanga

Naskia hta sammata anaweza asije na hii kwa namna moja ama nyingine inaweza kuathiri morali ya timu.

Kwa kifupi ni kuwa wachezaji wetu wachezaji wetu wasipoandaliwa mazingira ya na tension ya mchezo huwa wanaloose sana focus

Kwa wale mnaokumbuka mechi ya kwanza dhidi ya lesotho tuliotoka droo chamanzi, kulikuwa na mazingira km haya ya kuelekea ile mechi
By the way tuendelee kuiombea timu yetu ipate matokeo licha ya hizi changamoto.
 
Serikari kwenye mpira si lolote mkubwa hata wakibebewa rifle kama wanafungwa watafungwa tu.
.
Kule wapo maafisa wa TFF, kumbuka hata ukipanda ndege kesho kwenda S.A hutoruhusiwa kuhudhuria kwenye mazoezi yao wala kufika kambini kwao kwa kuepusha mashushushu wa Lesotho kupata taarifa za kila kinachoendelea.
.
Na kwa kukukumbusha TFF imetoa usafiri wa bure kwa waandishi wa habari kwenda Lesotho.
.
TUPO NYUMA YAO ILA AMUNIKE APANGE KIKOSI SHINDANI TU.
 
Ok tuseme kila la kheri
 
Huyo rais wa TFF , na waziri wanacheza namba ngapi?....hawana uwezo wowote wa kubadili matokeo
 
Hizo sababu zako hazina mashiko,wakituzidi watatufunga ila sababu zako si za msingi
 
Role yao ni kuongeza morali sio kucheza uwanjani
kama morali inasaidia timu zote zinazocheza uwanja wa nyumbani zingekuwa zinashinda maana zinach3za mbele ya mashabiki ,viongozi wao...kama hujui hujui tu hayo mambo ya morali ni uongo mtupu
 
kama morali inasaidia timu zote zinazocheza uwanja wa nyumbani zingekuwa zinashinda maana zinach3za mbele ya mashabiki ,viongozi wao...kama hujui hujui tu hayo mambo ya morali ni uongo mtupu
Aiseee!!!!
 
2019 AFCON Cameroon Stars ndani, Lesotho watakaa tuu, The Cranes kupona kwao ni suluhu hapa nyumban
 
Uganda anamfunga Cape Verde Nambole(machinjioni)sisi hata tukifungwa na Lesotho...Mechi ya mwisho Magu na Museveni wanamalizana kiutu uzima..Cameroon ileeeee2019...
 
Uganda anamfunga Cape Verde Nambole(machinjioni)sisi hata tukifungwa na Lesotho...Mechi ya mwisho Magu na Museveni wanamalizana kiutu uzima..Cameroon ileeeee2019...
Naaaam, na hiii ndiyo inaitwa sekenke, yaani tunakwenda cameroon kiulainiii kwa mgongo wa wadogo zetu uganda, poleni sana mnao tuombea mabaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…